.
Daniel Mainoya, Kaimu Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kaskazini ( kulia ) , akimwelezea Boniface Kadili, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Tanzania kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuhusu bidhaa na huduma za Yas wakati wa Maasai Tourism Cultural Festival inayofanyika katika Uwanja wa Magereza, Kisongo,Arusha. Yas inadhamini tamasha hili kwa lengo la kukuza na kuhifadhi utamaduni wa Kitanzania.
YAS WADHAMIRIA KUKUZA NA KUHIFADHI UTAMADUNI , WADHAMINI MAASAI TOURISM CULTURAL FESTIVAL
Reviewed by Adery Masta
on
February 15, 2025
Rating:
