Taasisi ya Charity imeendelea kutoa Misaada mbali mbali hususani ya Chakula katika mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Akizungumza jijini Mwanza Baada ya kutoa misaada ya chakula kwa wahitaji Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Bw,Ahmed Missanga amesema taasisi Hiyo imewafikia wahitaji katika mikoa ya Singida Dodoma Manyara na Mwanza .
Aisha ameongeza Kuwa kazi ya kuwahudumia watu wenye uhitaji kama yatima wazee nk inahitaji uaminifu hivyo amewasihi wadau Mbalimbali kaungana na taasisi hiyo kuweza kuwasaidia wahitaji.
Vile vile ameeleza katika Mfungo wa Mwezi mtukufu wa ramadhani ni hukumu la watu wote kuwahudumia wahitaji vyakula ili waweze kufunga swaumu vyema.
CHARITY PROGRAM YAWAFIKIA WAHITAJI MIKOANI
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
March 09, 2025
Rating:
