test

TAKUKURU TEMEKE YAWABURUZA MAHAKAMANI WATUMISHI 12



 TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa Temeke imewafikisha mahakamani watuhumiwa kumi na wawili kwa mashtaka ya uhujumu uchumi,Ubadhirifu na Utakatishaji fedha kiasi cha zaidi ya milioni 165. Washtakiwa hao ni Annie Nyabugumba Maugo ambaye ni Afisa Hesabu(Ofisi ya Rais TAMISEMI)Tumsifu Christopher Kachira,(afisa mwandamizi OR-TAMISEMI) na Aidani Zabron Mponzi(Ofisa hesabu OR-TAMISEMI) Wengine ni Jonathan Stanley Manguli (aliyekuwa Afisa hesabu OR TAMISEMI),Godrey James Martiny(aliyekuwa mkuu wa kitengo cha Fedha na Uhasibu),Juvenalis Mauna(Mkuu wa kitengo cha udhibiti taka na Usafi wa Mazingira),Josephat Mtembei(Mhandisi),Bibiana Mdete (Mtunza Bohari)na Henry Herman(Afisa Ugavi)....


TAKUKURU TEMEKE YAWABURUZA MAHAKAMANI WATUMISHI 12 TAKUKURU TEMEKE YAWABURUZA MAHAKAMANI WATUMISHI 12 Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on May 29, 2025 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.