Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa za Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Mei 28, 2026, Waziri Makonda amesema Haji atafanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na atazisemea timu zote za Taifa za mpira wa miguu.
MANARA SASA MSEMAJI WA TIMU ZOTE ZA TAIFA.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
May 28, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
May 28, 2026
Rating:

No comments: