Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Ndg, Leonard Qwihaya Mahenda (MANGUZO) amefika katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa kwaajili ya Kunadi mgombea Ubunge wa Jimbo Hilo kupitia CCM Ndg, Emmanuela Kaganda.
Kampeni za UCHAGUZI mdogo Jimbo la Isimani zinaendelea na UCHAGUZI unatarajiwa kufanyika juni 1.2026.
#friendsofmanguzo #isimani#emmanuelakaganda#2026
MANGUZO ATINGA ISIMANI KUMNADI KAGANDA.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
May 28, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
May 28, 2026
Rating:


No comments: