test

MFANYA KAZI MSBL AFARIKI KWA AJALI CHENENNE.

 Mfanyakazi wa kampuni ya MATI Super Brands Limited, aitwae Goodluck Didas Silayo, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo June 13, 2026, baada ya kupata ajali ya gari eneo la Chenene, katika barabara ya kuelekea Jijini Dodoma.



Ukurasa wa Instagram wa kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea wa kitanzania anayefahamika kwa jina David Mulokozi, umetoa taarifa hiyo kwa umma hivi punde, ukielezea kuhusu kifo hicho. 


Aidha, inaelezwa kuwa Goodluck alikuwa akihudumu nafasi ya Meneja wa Mipango na Fedha katika kampuni hiyo.

MFANYA KAZI MSBL AFARIKI KWA AJALI CHENENNE. MFANYA KAZI MSBL AFARIKI KWA AJALI CHENENNE. Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on June 13, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.