Na fadhili Shabani-SINGIDA.
Akizungumzia na Vision media blog.com, Mara baada ya kupata uteuzi huo wa wazazi wilaya ya Ikungi Bwana Misanga amesema
"Tunakwenda kuimarisha uhai wa chama na jumuia ya wazazi wilaya ya ikungi, kuhakikisha tunapata wanachama wapya Katika wilaya yetu,tunasimamia miradi iliyopo ya jumuia ya wazazi wilaya na kuibua miradi mipya ya jumuia ya wazazi Katika wilaya ya Ikungi".
#Kazi Iendelee.
#Alipo Mama Wazazi Tupo.
AHMED MISANGA
MLEZI JUMUIYA YA WAZAZI
WILAYA YA IKUNGI.
MISANGA ATEULIWA KUWA MLEZI WA JUMUIA YA WAZAZI IKUNGI.
Reviewed by VISIONMEDIA
on
June 17, 2023
Rating:
No comments: