test

SHUKRANI : BODI YA KIVULE SEKONDARI WAMSHUKURU MWANAHARAKATI BIHIMBA MPAYA

  Na Mwandishi Wetu.

Ikiwa ni Takribani wiki moja imepita tangu mwanaharati Bihimba Nasor Mpaya atoe tofali mia tano ( 500 ) kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa shule ya Sekondari KIVULE iliyopo Ukonga Jijini Dar Es Salaam , Bodi ya Shule iyo imemwandikia barua ya kumshukuru Mwanaharakati huyo kwa mchango wake na hamasa kubwa aliyoitoa siku hiyo ya kikao cha wadau wa Elimu .






Ikumbukwe Bihimba amejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni kutokana na harakati zake pamoja na moyo wake wa kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum mbalimbali hasa katika Jimbo la Ukonga.

GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO ZAIDI ZA MWANAHARAKATI BIHIMBA





















SHUKRANI : BODI YA KIVULE SEKONDARI WAMSHUKURU MWANAHARAKATI BIHIMBA MPAYA SHUKRANI : BODI YA KIVULE SEKONDARI  WAMSHUKURU MWANAHARAKATI BIHIMBA MPAYA Reviewed by Adery Masta on June 06, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.