test

M/Kiti UVCCM Babati vijijini afunga ligi Kata ya Naar.

 Mwenyekiti wa *UVCCM* wilaya ya Babati Vijijini *ndugu Solomoni Mpaki* hapo Jana Tarehe 03/09/2023 amefunga ligi ya Kijiji cha Gabadaw kata ya Nar aliongozana na Mhe.diwan kata ya Bashnet  *Jovita Mandoo* na viongozi wa chama pamoja na serikali kijiji ,aliemuwakilisha diwan wa nar

Mkiti wa Vijana 

Ameupongeza uongozi wa serikal ya kijiji cha Gabadaw kwa kuanzisha ligi na kuendelea kuudumisha  umoja wa vijana,afya pamoja na hamasa kwa Vijana,mchezo ulikuwa kati ya kitongoji cha  Bashnet kati na Gabadaw ambapo mshind ni Bashnet kati Amepata zawadi ya Tshs.120,000/= na mpra 1.mshind wa pili elfu 100,000/na mpira 1. Mshnd wa tatu tshs 78,000/= na mpira mmoja.

Mkiti aliendelea kuishukuru serikali ya kijiji ambapo wametoa mpira 1.kwa kila kitongoji na kuwaasa waendelee na mazoezi kwa,ajili ya maandalizi ya Ligi zinazokuja mbeleni.

Mkiti wa Vijana Ameendelea


 kuwakumbsha vijana kushiriki wiki ya Vijana Kitaifa itakayoanza Tarehe 07 mwez oktoba mpaka 14,Mkoani Manyara.


M/Kiti UVCCM Babati vijijini afunga ligi Kata ya Naar. M/Kiti UVCCM  Babati vijijini afunga ligi Kata ya Naar. Reviewed by VISIONMEDIA on September 04, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.