Tiger Fc ya Mamire Kati imeibuka Mshindi wa kwanza Katika michuano ya Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Daniel Sillo (SILLO CUP 2023) inayofanyika katika Kata za Jimbo hilo.
Jimbo la Babati Vijijini lina jumla ya kata 25 ambapo Saba zimeshafanya fainali za michuano hiyo inayodhaminiwa na Mbunge kwa lengo la kukuza vipaji vya vijana katika soka na kuimarisha Afya zao.
Silo Cup 2023 Mamire kati yaibuka kidedea..
Reviewed by VISIONMEDIA
on
September 03, 2023
Rating:
No comments: