test

JANUARI IMENOGA : ASHINDA MILIIONI TANO YA MAGIFTI DABO DABO

 Januari , 18 , 2024 Bi . Linah Shayo  MkaziMkazi wa Kigamboni  Jijini Dar Es Salaam anaenda kumalizia ujenzi wa Nyumba yake baada ya kushinda na kukabidhiwa rasmi Milioni 5 kutoka kampeni ya MAGIFTI DABO DABO inayoendelea hivi sasa.

Ikumbukwe Kampeni hii inayoendeshwa na Kampuni ya Tigo imezinduliwa mwishoni mwa Novemba  huku ikimtambulisha Haji Manara kama SEMAJI la Kampeni hii, ambapo mteja wa Tigo anaweza kushinda Fedha Taslimu hadi Milioni 10, Safari ya Kwenda Dubai au Zanzibar, Set ya Vifaa vya Ndani ambavyo ni Sound bar, Friji, TV na Microwave na Zawadi kubwa ya Magari Mawili ( 0km ) , kingine kinachovutia katika kampeni hii ni kwamba ukishinda kitu kimoja wapo kati ya ivyo unamchagua na yeyote umpendae ili apewe zawadi iyoiyo uliyoshinda hii ndio maana halisi ya MAGIFTI DABO DABO.

Akizungumza baada ya kumkabidhi Hundi ya Milioni 5 Mshindi  , Meneja wa Tigo Kanda ya Temeke na Kigamboni Jenseni Msechu Wana Kigamboni  na Watanzania kufanya miamala mbalimbali na Tigo Pesa ili kuibuka washindi maana kampeni bado inaendelea

Akizungumza kwa furaha kubwa, Mshindi wa Milioni 10 Bi Lina Shayo amesema kwakweli haamini macho yake kama tukio lililokua linafanyika ni la kwelii, 

" Mara ya kwanza napigiwa simu kuambiwa nimeshinda Milioni 5 ya MAGIFTI DABO DABO sikuamini kwakweli, Nilijua ni utapeli lakini baadae nkaja kuamini baada ya kuona kumbe nimepigiwa na namba 100 nawasihi Watanzania tumieni Tigo, fanyeni miamala maana ndo Siri ya Ushindi, hii hela niliyoipata naenda kumalizia ujenzi wa nyumba yangu.

JANUARI IMENOGA : ASHINDA MILIIONI TANO YA MAGIFTI DABO DABO JANUARI IMENOGA : ASHINDA MILIIONI TANO YA MAGIFTI DABO DABO Reviewed by Adery Masta on January 18, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.