YAS WAFIKISHA GARI NYUMBANI KWA MSHINDI MANYARA

test

  .



Ibrahim Njeja, mkulima kutoka Manyara ,  mkewe na mtoto wakekatika picha ya pamoja  baada ya kupokea gari aina ya Kia Seltos aliloshinda katika kampeni ya "Magift ya Kugift" huko Msitu wa Tembo, Manyara.

Na Mwandishi Wetu.

Kampuni namba moja nchini ya utoaji wa Huduma za Mawasiliano Nchini , Yas Tanzania imemkabidhi gari rasmi kwa mshindi , wa Kampeni ya Magifti ya Kugifti Bw. Ibrahimu kutoka Manyara , Ibrahim alishinda gari hilo wa kufanya miamala mbalimbali kama vile kununua Vifurushi , kulipia Umeme, LUKU n.k kupitia Mixx by Yas ( zamani Tigo Pesa ).

Chini ni matukio katika picha jinsi Kampuni ya YAS ilivyosafirisha gari hilo kutoka Dar Es Salaam hadi nyumbani kwa Mshindi - Manyara na jinsi wana Manyara walivyoupokea ushindi huo






                              
YAS WAFIKISHA GARI NYUMBANI KWA MSHINDI MANYARA YAS WAFIKISHA GARI NYUMBANI KWA MSHINDI MANYARA Reviewed by Adery Masta on February 02, 2025 Rating: 5

Post Comments

Powered by Blogger.