Mgombea ubunge Jimbo la Babati Mjini Ndg Emmanuel Khambay Leo Sep 24,2025 ametembelea soko la Babati ambapo amesikiliza kero za wafanyabiashara na kutoa ahadi ya kulifanyia maboresho soko la Babati ili liwe la kisasa na liendane na makao makuu ya mkoa
Aidha Ndg Regina Ndege mbunge mteule viti maalum aliambatana na Ndg Khambay kutembelea soko na pia walifanya kampeni ya kumnadi mgombea Urais Mhe. Samia Suluhu Hassan ubunge Ndg Emmanuel Khambay na udiwani Ndg Haruna
KHAMBAY ATEMBELEA SOKO LA BABATI ATOA AHADI KUFANYA MABORESHO MAKUBWA AKICHAGULIWA.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
September 24, 2025
Rating:

No comments: