Katibu Mkuu wa Chadema, Mheshimiwa John Mnyika leo Oktoba 2, 2025 Mahakama Kuu masijala ya Manyara kuhudhuria kesi iliyofunguliwa na chama dhidi ya Msajili wa vyama vya Siasa kupinga maamuzi yake ya kutowatambua viongozi wa walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025.
Kesi hiyo inaendeshwa na Jaji Nenelwa Mwihambi ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Sheria wa Bunge la Tanzania baadaye akateuliwa kuwa Katibu wa Bunge kabla ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
KATIBU MKUU CHADEMA , MYIKA AKTINGA MAHAKAMA KUU KANDA YA MANYARA
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
October 02, 2025
Rating:

No comments: