Maafisa, wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kutoka chuo cha Polisi wanamaji Mkoa wa Mwanza wametoa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na watoto kwa wafungwa wa gereza Kuu butimba.
Vitu hivyo vimetolewa katika gereza kuu la Butimba lilipo jijini Mwanza.
Akiongea Mara Baada ya kukabidhi vitu hivyo Mrakibu mwandamizi wa Polisi SSP Said Abddallah amesema kuwa wametoa vitu hivyo kwa lengo la kuyakumbuka makundi mbalimbali katika jamii huku tukio hilo lienda sambamba na kufikisha elimu kwa watu hao waliopo magerezani.
POLISI WANA MAJI WAWAKUMBUKA WAFUNGWA, BUTIMBA MWANZA
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
December 20, 2025
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
December 20, 2025
Rating:


No comments: