test

ASIA HALAMGA AMUWAKILISHA WAZIRI MKUU KONGAMANO LA MKOA WA KAGERA


 



Mbunge wa Jimbo la Hanang na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Asia Halamga, amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, katika Kongamano la Mkoa wa Kagera lenye kaulimbiu ya "Tanzania Kwanza"




Kongamano hilo limefanyika Mei 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikyolo uliopo Kata ya Bugene, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera  likiwakutanisha viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, uzalendo na mshikamano wa Taifa.



ASIA HALAMGA AMUWAKILISHA WAZIRI MKUU KONGAMANO LA MKOA WA KAGERA ASIA HALAMGA AMUWAKILISHA WAZIRI MKUU KONGAMANO LA MKOA WA KAGERA Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on May 30, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.