test

REGINA NDEGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA

 Naibu Waziri, Ofis ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray ametembelea Banda la Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.



Aidha, Mhe. Qwaray ameipongeza Sekretarieti ya Ajira Kwa namna inavyoendesha Mchakato wa Ajira Kwa kuzingatia Haki, Uwazi na Usawa.




REGINA NDEGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA REGINA NDEGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on June 23, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.