test

MADIWANI GEITA WAPIGWA STOP KUSAFIRI NJE YA MKOA.

 Mkuu wa Mkoa wa Geita, Alexander Mnyeti amesema hatatoa kibali cha kusafiri nje ya Mkoa wa Geita kwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Geita hadi walipe madai ya walimu inayoidai halmashauri hiyo.



Mnyeti amesema hayo wakati wa uzinduzi wa usajili wa Bima ya Afya kwa wote awamu ya pili iliyofanyika katika viwanja vya CCM Katoro, Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Geita, Mkoani Geita.

MADIWANI GEITA WAPIGWA STOP KUSAFIRI NJE YA MKOA. MADIWANI GEITA WAPIGWA STOP KUSAFIRI NJE YA MKOA. Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on October 23, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.