test

RAIS SAMIA AMTAKA MWIGULU APUMZIKE.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema jukumu la kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi ni la wakuu wa Mikoa na Wilaya, akisisitiza kuwa hawapaswi kumwachia Waziri Mkuu jukumu hilo.



"Kazi ya Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya ni kwenda kule kujua shida zao,  Hiyo Kazi sio ya Waziri Mkuu,  Mpumzisheni.  Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya waende wakafanye kazi yao, Lakini Waziri Mkuu ndio anazunguka na kuuliza shida za watu....wewe fulani una shida gani... hivyo vitu kweli ni vya waziri mkuu?" - Anahoji Rais Samia



RAIS SAMIA AMTAKA MWIGULU APUMZIKE. RAIS SAMIA AMTAKA MWIGULU APUMZIKE. Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on November 27, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.