test

TIGO NA INFINIX WASHUSHA BEI YA SIMU " Infinix NOTE 30 " MSIMU HUU WA SABASABA .

 


INAKUJA NA OFA: "Simu hii aina ya Infinix NOTE 30 inakuja na Ofa ya GB 96 bureee kutoka TIGO za kutumia mwaka mzima, ikiwa ni zawadi yetu kwako katika msimu huu wa Sabasaba Lakini Simu hii itauzwa kwa Bei ya Ofa ya Tsh. 520000 ( Laki Tano na Elfu Ishirini ) Katika Viwanja vya Sabasaba ." Woinde Shisael - Meneja wa Mawasiliano Tigo

SIMU BORA : " Simu yetu ya Infinix NOTE 30 imezinduliwa hivi karibuni , inavutia kuanzia mwonekano wake , Performance ya Speed ikiwemo katika kuchaji ambapo inakupa hadi 75% ukichaji ndani ya nusu saa tu , Kamera kali inayokuwezesha kupiga picha muda wowote mchana ana usiku , Storage GB 128 na RAM 8 GB na unaweza kuongeza pia , na Processor nzuri itakayokuwezesha kufanya mambo yako kwa speed nzuri " - Aisha Karupa - Afisa Mahusiano Infinix

Na Adery Masta.

Leo tarehe 4 Julai 2023 , Kampuni namba moja ya huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo pamoja na Kampuni ya Simu za mkononi Infinix wametangaza kushusha bei ya Simu Janja ya Infinix NOTE 30 katika Maonesho ya Sabasaba Kutoka Bei ya kawaida iliyotangazwa kipindi inazinduliwa hivi karibuni ya Tsh. 550000 ( Laki tano na Nusu ) hadi Tsh. 520000 ( Laki tano na Ishirini ) Katika Msimu huu wa Sabasaba .



Kufahamu zaidi Tafadhali tembelea kurasa zao za kijamii Tigo Tanzania na Infinix.

TIGO NA INFINIX WASHUSHA BEI YA SIMU " Infinix NOTE 30 " MSIMU HUU WA SABASABA . TIGO NA INFINIX WASHUSHA BEI YA SIMU " Infinix NOTE 30 " MSIMU HUU WA SABASABA . Reviewed by Adery Masta on July 04, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.