test

TIGO NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU ZA Galaxy Z Flip 5 NA Galaxy Z Fold 5

                         

GB 96 BURE UKINUNUA : " Tigo kama vinara wa Mapinduzi ya Kidigitali tunawaletea SIMU ZA Galaxy Z Flip 5  na  Galaxy Z Fold 5 ambapo tutakupatia GB 96 BURE utakaponunua simu hii katika Maduka ya Tigo au Samsung popote nchini , bila kusahau tuna simu za mkopo za SAMSUNG ambapo mteja atalipa kiasi ca Shilingi Elfu moja kwa Siku " - Imelda Edward - Meneja Mauzo Vifaa Vya Intaneti Tigo.


UBORA NA BEI :  " Simu za Galaxy Z Flip 5 NA Galaxy Z Fold 5 zina ubora wa hali ya juu , Camera kali itakayokuwezesha kupiga picha nzuri na zenye ubora , Chaji hadi siku 2 , ina screen mbili na kubwa ambazo zinakuwezesha kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja ( mfano unaangalia mpira huku ukiendelea na mambo mengine kama whatsaap , Youtube au Netflix ) , CPU na RAM kubwa ,  Simu hizi zina Warranti ya Miaka Miwili na Waranti ya Mwaka mmoja kurekebishiwa Screen BURE pale itakapopata Tatizo , Bei ya  Galaxy Z Flip 5 ni Milioni Tatu na Elfu 80 Na Galaxy Z Fold 5 ni Milioni TANO  laki  Sita na Hamsini " - Edwin Byampanjo - Mwakilishi wa Samsung Tanzania

Ikumbukwe kuwa Simu hizi zimezinduliwa jana Agosti , 30 , 2023 kwa maelezo zaidi tembelea maduka au mitandao ya kijamii ya Samsung na Tigo.
TIGO NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU ZA Galaxy Z Flip 5 NA Galaxy Z Fold 5 TIGO NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU ZA Galaxy Z Flip 5 NA Galaxy Z Fold 5 Reviewed by Adery Masta on August 30, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.