Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameagiza Mahakama na Jeshi la Polisi kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana na Shirika lisilo la Kisheria la Utu Kwanza katika kusaidia upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa wafungwa na mahabusu wasio na uwezo ili wapate haki.
Gekul aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua dawati la Msaada wa kisheria lililoanzishwa na Shirika lisilo la kiserikali Ia Utu kwanza ambalo limejipanga kutoa huduma ya Msaada wa kisheria katika Mahakama nchini ingawa kwa kuanzia wanaanza katika Wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam.
Vilevile alisema Mashirika hayo yanatakiwa kushirikiana na Serikali katika kuboresha maisha ya watu wote huku wakizingatia kipaumbele cha Utu kwenye haki jinai na wote wana wajibu wa kuwatumikia Watanzania katika kudumisha amani na mshikamano.
Aidha alisema wadau wa Sheria na mashirika yasiyo ya kiserikali yanayojihusisha na kutoa msaada wa kisheria yanatakiwa kutumia rasilimali zake vizuri kuwafikia walengwa.
Millard Ayo
Aa
Top Stories
Entertainment
Sports
Magazeti
Millard Ayo > Blog > Top Stories > ‘Tuwasaidie wafungwa na Mahabusu wapate haki’, Gekul aagiza
TOP STORIES
‘Tuwasaidie wafungwa na Mahabusu wapate haki’, Gekul aagiza
September 11, 2023
Share
1 Min Read
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameagiza Mahakama na Jeshi la Polisi kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana na Shirika lisilo la Kisheria la Utu Kwanza katika kusaidia upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa wafungwa na mahabusu wasio na uwezo ili wapate haki.
Gekul aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua dawati la Msaada wa kisheria lililoanzishwa na Shirika lisilo la kiserikali Ia Utu kwanza ambalo limejipanga kutoa huduma ya Msaada wa kisheria katika Mahakama nchini ingawa kwa kuanzia wanaanza katika Wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam.
Vilevile alisema Mashirika hayo yanatakiwa kushirikiana na Serikali katika kuboresha maisha ya watu wote huku wakizingatia kipaumbele cha Utu kwenye haki jinai na wote wana wajibu wa kuwatumikia Watanzania katika kudumisha amani na mshikamano.
Aidha alisema wadau wa Sheria na mashirika yasiyo ya kiserikali yanayojihusisha na kutoa msaada wa kisheria yanatakiwa kutumia rasilimali zake
No comments: