test

KAMPENI YA TIGO CHA WOTE YABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA 28,600

  Washindi  elfu ishirini na  nane mia sita (28,600) wamepatikana kwenye kampeni ya Cha wote kutoka tigo tokea kuanza kwa kampeni hiyo iliyodumu kwa siku tisini 

Hayo ameyasema Mary Rutta  Meneja wa kitengo Maalum tigo pesa leo Septemba 22, 2023 wakati akikabidhi baadhi ya wawakilishi zawadi ya hundi ya milioni Moja Ofisi za Tigo Jijiji Dar es salaam   


Ameongezea kwa kusema watumiaji wa mtandao huo waendelee kuwa karibu na huduma zao kwani kuna mambo kibao yatakayokuja kwa wateja wao 

Naye Mshindi Devotha Kweka  kutokea Dar es salaam amejishindia milioni moja amesema fedha hizo zitamsaidia kukuza biashara yake na mambo yake binafsi

Kampeni hiyo ikiwa imefikia tamati  imedumu kwa siku tisini miongoni mwa zawadi zilizokuwa zinatokewa ni Milioni tano bonasi ya dakika na SMS

KAMPENI YA TIGO CHA WOTE YABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA 28,600 KAMPENI YA TIGO CHA WOTE YABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA 28,600 Reviewed by Adery Masta on September 23, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.