test

OMTO VICOBA DAY 2023 YAJA NA MIRADI KABAMBE.

 

Rais wa Vicoba Endelevu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya YEMCO Vicoba, Mohamed Basanga akizungumza na Viongozi wa  Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) jijini Dar es Salaam leo wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo kusimamia vikundi pamoja maandalizi ya siku ya Omto day 2023 pamoja na Uzinduzi wa mradi wa amua tufanikiwe. Vilevile Rais Basanga amezindua rasmi sare itakayovaliwa siku hiyo ya Omto Vicoba Day 2023. 

Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza na Viongozi wa  Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) jijini Dar es Salaam leo wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo kusimamia vikundi pamoja maandalizi ya siku ya Omto day 2023 pamoja na Uzinduzi wa mradi wa amua kufanikiwa. Vilevile Rais Basanga amezindua rasmi sare itakayovaliwa siku hiyo ya Omto Vicoba Day 2023. 


Rais wa Vicoba Endelevu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya YEMCO Vicoba, Mohamed Basanga  akizindua sare ya Omto Vicoba Day 2023 jijini Dar es Salaam leo wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo viongozi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO)  kusimamia vikundi pamoja maandalizi ya siku hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Anna Haule.

Baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO)  wakihudhuria katika mkutano huo.



Rais wa Vicoba Endelevu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya YEMCO Vicoba, Mohamed Basanga akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Viongozi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) baada ya kumaliza mkutano huo.
OMTO VICOBA DAY 2023 YAJA NA MIRADI KABAMBE. OMTO VICOBA DAY 2023 YAJA NA MIRADI KABAMBE. Reviewed by Adery Masta on September 03, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.