Kwa niaba ya Mjumbe kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Singida Ndg Ahmed Misanga, Katibu wa Jumuiya ya wazazi wilaya ya ikungi Ndg Hawa Kisuda amekabidhi Mifuko ya Saruji kwaajili ya ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT wilaya ya ikungi kwa Mwenyekiti wa UWT MKOA WA SINGIDA Ndg Martha katika Maadhimisho ya Wiki ya UWT Kimkoa iliyo fanyika wilayani Ikungi.
Uchungu wa Mwana
Ajuae Mzazi.
Chama imara jeshi ya Mama Samia Mitano Tena kazi iendelee
KIDUMU CHAMA CHA MAPUNDUZI
MAADHIMISHO YA WIKI YA UWT MKOA WA SINGIDA-WILAYA YA IKUNGI 18.9.2023*
Reviewed by VISIONMEDIA
on
October 18, 2023
Rating:
No comments: