Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kuwafunda viongozi wake wa ngazi za chini ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu 2024.
Mafunzo hayo yameanza leo tar 9 May 2024 wilayani simanjiro na kwamba yataendelea katika wilaya zingine mpaka katikati ya mwezi huu wa May 2024. Mafunzo hayo yanaendeshwa na makada wazoefu wa CCM ambao ni Deo Luta na advocate Kanyama. Viongozi wameambatana na Katibu wa Wazazi Mkoa wa Manyara Bi Christina Masagasi na Mwenezi wa Mkoa Comrade John Nzwalile.
Imetolewa na idara ya Siasa na Uenezi Mkoa wa Manyara.
CCM YAWAFUNDA MAKADA WAKE MKOANI MANYARA
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
May 09, 2024
Rating:
No comments: