Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imeshiriki Msimu wa Sita wa Mbio Maarufu za SELOUS MARATHON zilizofanyika Leo , Agosti , 24 , 2024 Mkoani Morogoro. Kampuni hiyo imeshiriki mbio hizo kwa kutoa huduma mbalimbali za Kidigitali kwa Washiriki kabla, wakati na baada ya Mbio .
MBIO ZA SELOUS MSIMU WA SITA 2024 ZAFANA , TIGO WASHIRIKI
Reviewed by Adery Masta
on
August 24, 2024
Rating:
No comments: