VIONGOZI WA TLP WAENDA NA MABANGO KWA MSAJILI KUMUOMBA ATOE MAJIBU YA MADAI YA VIONGOZ WA MIKOA NCHI NZIMA YA KUPINGA UCHAGUZI WA MWENYEKITI.
VIONGOZI WA TLP WAENDA NA MABANGO KWA MSAJILI KUMUOMBA ATOE MAJIBU YA MADAI YA VIONGOZ WA MIKOA NCHI NZIMA YA KUPINGA UCHAGUZI WA MWENYEKITI.
Hii ni baada ya wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa 20 wakipinga kutopewa taarifa ya mkutano mkuu uliofanyika 2/2/2025 !ambapo Richard Lyimo alijipitisha kuwa Mgombea pekee wakati awali wagombea walikuwa 5.
Hivyo kutokana na ofisi ya msajili kila siku kuahidi kutoa majibu bila mafanikio,pamoja na uongozi wa TLP KWENDA TAFUTA HAKI KWA TAASISI KAMA TLS,HUMAN RIGHT.
NA KUMUOMBA MSAJILI KUMALIZA MGOGORO WAO ILI CHAMA KIWEZE KUFANYA KAZI.
Hivyo leo viongoz wakiongozwa na makamu mwenyekiti Dominata Rwechungura wameambatana .kwenda kwa Msajili wa vyama vya siasa na mabango ya kumuomba Rais Samia Aingilie wapete majibu mgogoro wao..
Chama cha TLP kimekumbwa na mgogoro toka kufariki kwa mrema.
Ambapo uchaguzi wa mwenyrkiti umekuwa chanzo , awali alichaguliwa Eng.Aivan Maganza kuwa Mwenyekiti taifa,kabla ya Richard lymo nae kujiptisha kama mwenyekiti
