Mgombea Ubunge kupitia Chama cha ukonbozi wa UMMA CHAUMMA, Bi, Veronica Mgeta akizungumza na wananchi wa katika kata ya Kayenze.Mgeta anaendelea kufanya kampeni zake katika maeneo mbali ya Jimbo Hilo,ili kushinda Ubunge wa Jimbo Hilo.
No comments: