Ndg.Emmanuel John Khambay Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini akikabidhiwa Ilani ya CCM 2025-2030 na Dkt.Samia Suluhu Hassan mara baada ya Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Uraisi wa CCM Mkoani Manyara leo tarehe .04.10.2025.
DR SAMIA AMKABIDHI RASMI ILANI,NDG KHAMBAY
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
October 04, 2025
Rating: 5
No comments: