test

POLISI KILI MANJARO WAMSAKA ALIYE TUPA KICHANGA.

 


Kufuatia tukio la mwili wa mtoto wa POLISI KILI MANJARO  WAMSAKA ALIYE TUPA KICHANGA.  kukutwa umetupwa jana Oktoba 6 katika daraja kwa Makini mtaa wa Njoro ya Dobi kata ya Njoro Manispaa ya Moshi, jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limesema linaendelea na uchunguzi wa mama aliyefanya tukio hilo la kikatili.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mwili wa kichanga huyo mwenye jinsia ya kiume ulichukuliwa na jeshi kwa ajili ya uchunguzi na baadae kuzikwa.

POLISI KILI MANJARO WAMSAKA ALIYE TUPA KICHANGA. POLISI KILI MANJARO  WAMSAKA ALIYE TUPA KICHANGA. Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on October 07, 2025 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.