test

ADO ASHIRIKI IBADA YA KU MUAGA MHAGAMA PERAMIHO

 


Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ambaye

 pia ni Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu Ado leo ameshiriki misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Benedict, Abasia ya Peramiho, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea Mkoani Ruvuma leo tarehe 15 Desemba 2025.




ADO ASHIRIKI IBADA YA KU MUAGA MHAGAMA PERAMIHO ADO ASHIRIKI IBADA YA KU MUAGA MHAGAMA PERAMIHO Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on December 15, 2025 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.