test

INASIKITISHA ! AMLAWITI MTOTO WA MIAKA 7 NA KUTOROKA, POLISI K, NJARO WAMSAKA

 Mtu aliyefahamika majina Athuman Ally anasakwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,kwa kosa la kumlawiti mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka 7 (jina limehifadhiwa).



Katika ya jeshi la polisi Mtuhumiwa kutenda tukio hilo Januari 29,2026 majira ya saa sita mchana huko Soweto Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro na baada ya kufanya hivyo alitoroka.


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linatoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za kuweza kusaidia kumkamata asisite kutoa ushirikiano huo muhimu ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata.

INASIKITISHA ! AMLAWITI MTOTO WA MIAKA 7 NA KUTOROKA, POLISI K, NJARO WAMSAKA INASIKITISHA ! AMLAWITI MTOTO WA MIAKA 7 NA KUTOROKA, POLISI K, NJARO WAMSAKA Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on February 08, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.