test

RC MTANDA AWATAKA VKB MEDIA KUIONDOA TAARIFA YA UPOTOSHAJI NA KUOMBA RADHI.

 Mkuu WA Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda kupitia Ukurasa wake wa Facebook amekitaka chombo Cha habari Cha mtandaoni kijulijulikanacho kama VKB MEDIA KUIONDOA TAARIFA ya Upotoshaji dhidi yake na KUOMBA RADHI ndani ya masaa 24.

Nukuu...

VKB MEDIA niombeni radhi na muondoe taarifa yenu katika kipindi cha masaa 24 yenye kichwa cha habari: CHUKUENI MILIONI KUMI CASH IFUNGENI SIMBA-RC MTANDA, naamini wanaotumia video hii wanafanya kwa faida yao na kutengeneza content, video hii ni ya siku nyingi na haikurekodiwa kwa maudhui yaliyosemwa na mwandishi, kupotosha habari hii kwa makusudi ni jitihada za mwandishi kuchafua taswira yangu. Defarmation nitakuchukulia hatua za kisheria.

RC MTANDA AWATAKA VKB MEDIA KUIONDOA TAARIFA YA UPOTOSHAJI NA KUOMBA RADHI. RC MTANDA AWATAKA VKB MEDIA KUIONDOA TAARIFA YA UPOTOSHAJI NA KUOMBA RADHI. Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on March 17, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.