Imeelezwa kuwa Watendaji WAWILI katika Kijiji Cha Koko may kilichopo Kata ya Kiru halmashauri ya Babati Mkoani Manyara wamepata Matatizo ya kupata Ajali kwakugongwa na Pikipiki na kupelekea KUVUNJIKA viungo vyao Kila wanapo Ripoti Kijijini hapo
Hayo yamebainishwshwa Leo na Diwani wa Kata ya Kiru Mhe John Sanka wakati akiwasilisha Taarifa ya Maendeleo ya Kata hiyokatika Baraza la madiwani Cha Robo ya 3 kilichoketi Aprilii 29.2026
Mhe.Sanka amemuomba mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuajiri mtendaji mwingine BAADA ya watendaji WAWILI kupata madhila hayo mfululizo.
Akijibu hoja Hiyo Katibu Tawala wa Wilaya ya Babati CPA. Thobias Abwaro Amesema SUALA la watendaji kupata Matatizo ya Ajali wanapokuwa Kijijini hapo linapaswa kuchunguzwa kabla ya kuochukua Hatua ya kuajiri mtendaji mungune ili kupata mwarobaini wa Tatizo Hilo.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
April 29, 2026
Rating:




No comments: