Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Manyara Yustina Rahhi akikagua maonesho katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu yaliyo fanyika katika shule ya sekondari Isale
Amesema moja ya sehemu kubwa hasa kwa vijana ni kuweza kujiajiri kwani huleta maendeleo katika jamii na kuchangia ukuwaji wa uchumi wa taifa kwa ujumla
Pia amesisitiza uwajibikaji kwa wazazi katika malezi ya watoto kuwalea katika misingi iliyobora iliwajekuwa msaada kuwajibika .kuhakikisha mahitaji kwa watoto haya kosekani na kupata haki yao ya msingi
MBUNGE RAHHI ASIHI VIJANA KUJIAJIRI.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
June 30, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
June 30, 2026
Rating:



No comments: