test

REGINA NDEGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA

 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Regina Ndege ashiriki katika Maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yanayoendelea Jijini Dodoma katika Viwanja vya Chinangali,apitia kwenye Mabanda ya Taasisi mbalimbali kujionea bidhaa mbalimbali na namna ya Utoaji wa huduma.



Mhe.Naibu Waziri amezipongeza baadhi ya Taasisi na Wizara zinazofanya vizuri katika utoaji wa Mafunzo ikiwemo Veta na Wizara ya Maliasili na Utalii.




Ni jana tarehe 22.06.2026 jijini Dodoma,maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanaendelea Mkoani Dodoma.

REGINA NDEGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA REGINA NDEGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA Reviewed by VISION MEDIATZBLOG on June 23, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.