Mkurugenzi wa Safina Radio na Safina Ministry, Dr. Daniel Lema, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Alhamisi, Septemba 24, 2026.
Taarifa za kifo chake zimepokelewa kwa huzuni kubwa na familia, wafanyakazi wa Safina Radio, waumini wa Safina Ministry pamoja na watu mbalimbali walioguswa na huduma yake.
Dr. Daniel Lema anakumbukwa kwa mchango wake katika kueneza Injili, uinjilisti na huduma ya vyombo vya habari vya Kikristo, kupitia Safina Radio na Safina Ministry.
Kuondoka kwake kumeacha pengo katika familia, huduma na kwa wengi walioguswa na utumishi wake.
MWANZILISHI WA SAFINA RADIO, DR. DANIEL LEMA AFARIKI DUNIA
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
September 24, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
September 24, 2026
Rating:

No comments: