test

BIHIMBA MGENI RASMI SIKU YA WAMAMA WAOMBOLEZAJI NA KUKEMEA ROHO YA USHOGA NA USAGAJI TANZANIA

  Na Mwandishi Wetu.

Mwanaharakati Huru Tanzania Bihimba Nassoro Mpaya Mkazi wa Ukonga Dar Es Salaam atakuwa Mgeni rasmi siku ya Wamama Waombolezaji Tanzania lenye lengo la kupaza sauti mbele za Mungu , kuombea Taifa kukemea ushoga na Usagaji litakalofanyika Jumatatu ya Mei , 1 , 2023 Katika Kanisa la THE FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA ( FPCT ) Bombambili Ukonga - Dar Es Salaam .

Siku hii imeandaliwa na Kanisa la THE FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA ( FPCT ) Chini ya Mchungaji Raymond Maguru lililopo Bombambili Ukonga - Dar Es Salaam .

Akizungumza baada ya kupigiwa simu na Mwandishi Wetu Bwn. Bihimba amesema kuwa amepokea mwaliko huu kwa Moyo Mkuu na atafika kuungana na Watumishi wa Mungu katika siku hiyo adhimu ya kuliombea Taifa letu na kukemea vitendo vya Ushoga na Usagaji.

BIHIMBA MGENI RASMI SIKU YA WAMAMA WAOMBOLEZAJI NA KUKEMEA ROHO YA USHOGA NA USAGAJI TANZANIA BIHIMBA MGENI RASMI SIKU YA WAMAMA WAOMBOLEZAJI NA KUKEMEA ROHO YA USHOGA NA USAGAJI TANZANIA Reviewed by Adery Masta on April 29, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.