test

RC SENDIGA WATINGA KWARAA STADIUM NA SUMAYE.


 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga ameambatana na Waziri Mkuu mstaafu Ndg. Fredrick Sumaye, katika kukagua na kutembelea maendeleo ya Uwanja wa Kwaraa Babati ambapo ndipo shughuli ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 zitafanyika.


Waziri Mkuu huyo mstaafu amepongeza jitihada zinazoendelea kufanyika za ukamilishaji wa Uwanja huo na ametoa chagizo kwa Mkoa wa Manyara kuona umuhimu wa kuwa na timu mpira wa miguu kutokana na uwepo uwanja wa kisasa ambao ndio nyenzo muhimu kwenye mchezo huo.


*KIBABE KUELEKEA THE BIG OKTOBA*

RC SENDIGA WATINGA KWARAA STADIUM NA SUMAYE. RC SENDIGA WATINGA KWARAA STADIUM NA SUMAYE. Reviewed by VISIONMEDIA on September 21, 2023 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.