Samaha Mufti wa Tanzania Dt. Abubakar Zubeir Ali Mbwana amemteua Sheikh Ramadhani Kaoja kuwa Qadhi wa Mkoa wa Singida.
Kwa Mujibu wa Taarifa ya Katibu wa Baraza la Ulamaa Alhaj Sheikh Hassan Chizenga Sheikh Kaoja ameteuliwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Qadhi wa mkoa huo Almarhoum Alhaj Sheikh Shabani Mkanga.
.....
Dr. Harith Nkussa
Msemaji Maalum wa Mufti
Jumamosi 6.4.2024
Kondoa - Dodoma
SHEIKH KAOJA QADHI SINGIDA ....
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
April 09, 2024
Rating:
No comments: