Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya akakibidhi baadhi ya vifaa,vilivyo tolewa na kampuni ya mawasiliano Tigo, kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu, MHE. DADI HORACE KOLIMBA, ikiwa ni msaada kwa wahanga/waathirika wa mafuriko,wilayani Karatu.
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imetoa msaada wa vifaa na bidhaa zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 10 kwa waathirika wa Mafuriko Wilayani Karatu , Msaada huo umewasilishwa na wafanyakazi wa Tigo kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu kwa lengo la kuwafikia kiurahisi waathirika wa Mafuriko hayo.
TIGO WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU
Reviewed by Adery Masta
on
May 17, 2024
Rating:
No comments: