Kampuni ya Mati Super Brands Ltd. Kupitia kinywaji chake cha Tanzanite Royal Gin, imezindua rasmi “Tanzanite Royal Gin – Royal Love Challenge 2026”, kampeni maalum ya msimu huu wa Valentine’s Day.
Lengo kuu la "Royal Love Challenge" ni kuendeleza uhusiano mzuri na wateja wetu na kuhakikisha wanaifurahia siku ya Valentine’s Day kwa namna ya kipekee.
Royal Love Challenge ni shindano la mtandaoni litakalofanyika kupitia mtandao wa Instagram, likiwalenga couples, wapenzi halisi au wanandoa.
JINSI YA KUSHIRIKI ROYAL LOVE CHALLENGE
- Kupiga picha nzuri wakiwa kama couple na chupa halisi ya Tanzanite Royal Gin inayoonekana wazi
- Kupost picha hiyo kwenye Instagram zao
- - Kutag ukurasa wa @TanzaniteRoyalGin
- Kutumia hashtag #RoyalLoveChallenge
- Kufanya collaboration na ukurasa wa Tanzanite Royal Gin
VIGEZO VITAKAVYOTUMIKA KUMPATA MSHINDI
- Idadi ya likes na comments halisi
- Ubora wa picha
- Ubunifu wa wazo
- Tathmini ya waandaaji
ZAWADI KWA MSHINDI
Mshindi wa Challenge hii anatarajiwa kushinda Zawadi mbalimbali ikiwemo
- Safari ya Tarangire National Park
- Usiku mmoja Asmorain Hotel Babati siku ya valentine's
- Candlelight Dinner siku ya Valentine’s Day
- Pesa Taslim
Mshindi wa kampeni hii anatarajiwa kutangazwa ifikapo februari 12, ambapo zawadi zote zitatolewa Februari 14.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
February 05, 2026
Rating:



No comments: