Tarehe 15 Agosti, 2026 saa 10.20 jioni eneo la Sinza - Makaburini,Ubungo,Jijini Dar es Salaam, Tito Onesmo Machibya @nabii tito mkazi wa Buza Sigara,Temeke, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi.
"Anahojiwa kwa kina na taratibu za kisheria zinakamilishwa ili kumfikisha mtuhumiwa kwenye mamlaka zingine za kisheria kwa hatua zaidi." .. imeeleza taarifa iliyotolewa na Kamanda Kanda Maalum ya Polisi,Dar es Salaam.
NABII TITO AKAMATWA NA POLISI KWA UCHOCHEZI NA MATUSI
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
August 15, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
August 15, 2026
Rating:

No comments: