Naibu Spika wa BUNGE na Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Mhe. Daniel sillo amewaomba viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili aweze kutekeleza majukumu yake Kwa ufanisi.
Mhe Sillo ameyasema hayo Leo katika Hafla MAALUMU ya pongezi iliyo andaliwa na vijana katika Kata ya Galapo, kwaajili ya kumpongeza kiongozi huyo.
Aidha silo ameahidi kuendelea kushirikiana na viongozi wa Dini wa kimila pamoja na makundi mbali mbali pasipo kuwabagua.
Hafla hiyo iliambatana na Maombi kutoka Kwa viongozi hao, huku wakiahidi kuendelea kumuunga mkono mhe Sillo mkono na kumuombea ili aweze fanikisha adhma ya maendeleo katika jimbo la Babati mjini na TAIFA Kwa Ujumla
Vile vile SILLO ameahidi kufanyia kazi Changamoto za vijana alizozipokea kupitia Risala ya vijana hao.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
August 10, 2026
Rating:

No comments: