KANISA LINA WAJIBU MKUBWA WA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUELIMISHA JAMII KUHUSU AFYA YA UMMA NA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA HUDUMA ZA MATIBABU KWA WAKATI.
Mhe. Dkt. Johannes Lembulung Lukumay amesema hayo Leo Septemba 25,2026 Jijini Arusha wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 27 wa Dayosisi ya Kaskazini Kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) unaofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Engarenarok.
Alisema pamoja na Kanisa kuwa na jukumu la kuhubiri neno la Mungu na kuimarisha imani za waumini, lina wajibu pia wa kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa afya na matumizi ya huduma za matibabu.
Mbunge Arumeru Magharibi
KANISA LINA WAJIBU MKUBWA WA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUELIMISHA JAMII KUHUSU AFYA YA UMMA NA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA HUDUMA ZA MATIBABU KWA WAKATI.
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
September 25, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
September 25, 2026
Rating:

No comments: