Bodaboda mmoja katika Kijiji cha Chepsui, Kaunti ya Nandi nchini Kenya amezikwa na bodaboda yake kama alivyo acha Wosia Wake kabla ya kifo chake.
Marehemu alikuwa dereva wa bodaboda aliyekuwa akiipenda sana pikipiki yake, ambayo ilikuwa sehemu muhimu ya maisha na shughuli zake za kujipatia kipato.
Hata hivyo ndugu wa marehemu Wana sema hawakuweza kutimiza Wosia wa marehemu Kwa kuhofia Pikipiki hiyo kuibiwa, Wana sema walicho kifanya waliingiza Pikipiki hiyo ndani ya kaburi wakaiwasha na badae walifukia kaburi pamoja na Pikipiki ila jioni kabla ya Giza kuingia walifukua kaburi na kuitoa Pikipiki.
DEREVA TOYO AZIKWA NA PIKIPIKI YAKE, KABURI LAFUKULIWA USIKU KUHOFIA PIKIPIKI KUIBIWA
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
November 17, 2026
Rating:
Reviewed by VISION MEDIATZBLOG
on
November 17, 2026
Rating:

No comments: